Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
HAKIKI USOMAJI WA DIRA YAKO YA MAJI
12 Jun, 2025 Pakua
HAKIKI USOMAJI WA DIRA YAKO YA MAJI

HAKIKI USOMAJI WA DIRA YAKO YA MAJI

Ndugu Mteja, zoezi la usomaji na uhakiki wa mita za Maji linaendelea mtaani kwako.

Endapo umepata ujumbe wa kiasi cha Unit za Maji ulizotumia hakiki kulinganisha na Unit inayoonekana kwenye mita yako ya Maji.

Kwa changamoto yoyote wasiliana nasi kupitia kituo cha huduma kwa wateja 0800110064 (Bure) au 0735 202 121 (WhatsApp tu)