HAKIKI USOMAJI WA DIRA YAKO YA MAJI
13 Jan, 2026
Pakua
HAKIKI USOMAJI WA DIRA YAKO YA MAJI
Ndugu Mteja wa DAWASA, zoezi la usomaji wa mita za Maji linaendelea mtaani kwako.
Zoezi hili linaenda sambamba na kupokea ujumbe mfupi wenye kuonyesha kiasi cha Maji (units) ulichotumia kupitia simu yako.
Endapo utapata ujumbe huo, hakiki kwa kulinganisha na kiasi (unit) kinachoonekana kwenye mita yako.
Kwa Mawasiliano zaidi tupigie; Kituo cha Huduma kwa Wateja 181 (Bure) 0735 202 121 (WhatsApp Tu)
