HAKIKI USOMAJI WA MITA YAKO KABLA HUJAPOKEA UJUMBE WA ANKARA
15 Apr, 2025
Pakua

HAKIKI USOMAJI WA MITA YAKO KABLA HUJAPOKEA UJUMBE WA ANKARA
DAWASA inawakumbuka Wateja wake kuwa ni muhimu kuhakiki usomaji wa mita za maji kabla ya kupokea ujumbe wa ankara ya malipo.
Mamlaka inashauri kila mteja;
1. Kuhakiki usahihi wa unit za Maji uliopo katika mita yako.
2. Kuhakikisha usomaji unalingana na ujumbe wa ankara utakayopokea.
3. Kuwasiliana na DAWASA endapo utabaini changamoto katika usomaji.
Kwa msaada zaidi, wasiliana nasi kupitia 0800110064 (Bila Malipo) na ujumbe mfupi 0735 202 121 (WhatsApp tu).