Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
HUDUMA YA UONDOSHAJI MAJITAKA
06 Aug, 2024 Pakua

Gharama za huduma ya uondoshaji Majitaka kupitia Magari ya DAWASA

Majumbani: Lita 18000 - 150,000/= , Lita 9000 - 100,000/= na Lita 5000 - 50,000/=

Majengo ya Biashara: Lita 18000 - Lita 150,000/=

Piga namba hii 0735 451 879 kupata huduma.

USAFI WA MAZINGIRA NI UTU