IJUE SHERIA YA MAJI
11 Feb, 2025
Pakua

IJUE SHERIA YA MAJI
SHERIA YA MAJI NAMBA 5/2019 INAAINISHA MAKOSA YA JINAI NA ADHABU ZAKE
Ndugu Mteja, fahamu kuwa kuchezea dira za maji ili kufanya udanganyifu wa maji uliyoomba ni kosa la Jinai.
ADHABU ZAKE;
- Kulipa faini ya Tsh 500,000 hadi Tsh Milioni 10.
- Kifungo cha miezi 6 mpaka miaka miwili (2)
- Endapo kosa litajirudia faini Tsh Milioni 10 hadi Milioni 20.
- Kifungo cha miaka miwili (2) hadi miaka mitano (5).