IJUMAA MUBARAK
27 Jun, 2025
Pakua

IJUMAA MUBARAK
"Waambie: Enyi waja wangu waliojidhulumu nafsi zao! Msiikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zake. Hakika Yeye ni Mwingi wa msamaha, Mwenye kurehemu."
Surah Az-Zumar (39:53)