JE, UMESOMEWA MITA YAKO YA MAJI?
14 Aug, 2024
Pakua
Ndugu mteja, zoezi la usomaji na uhakiki wa mita za Maji linaendelea.
Endapo hujasomewa mita yako tafadhali wasiliana nasi 0800110064 (Bure) au 0735 202 121 (WhatsApp tu).