JE, UNA CHANGAMOTO KATIKA USOMAJI WA MITA YAKO YA MAJI?
16 Sep, 2026
Pakua
JE, UNA CHANGAMOTO KATIKA USOMAJI WA MITA YAKO YA MAJI?
Chukua hatua zifuatazo;
1. Hakiki usomaji unaoonekana kwenye ujumbe wa SMS uliyopokea kutoka DAWASA linganisha na usomaji wa kwenye mita yako.
2. Iwapo usomaji haujalingana au kuna tofauti kubwa wasiliana nasi kupitia Kituo cha Huduma kwa Wateja 181
Kumbuka: Ni muhimu kuhakiki usomaji mita yako kabla bili za huduma ya Maji hazijatolewa ili kuepusha changamoto za kihuduma.
