JE UNAFAHAMU HAKI ZA WATEJA?
09 Dec, 2024
Pakua
JE UNAFAHAMU HAKI ZA WATEJA?
1. Kupata huduma ya Majisafi na uondoshaji wa Majitaka
2. Kupata taarifa sahihi kwa wakati.
3. Kutoa au kuwasilisha maoni, pongezi au malalamiko.
4. Kupewa faragha na kutunziwa siri kuhusu huduma iliyotolewa.
5. Kupata huduma bila kubaguliwa.
