Je, usomaji wa Dira yako ya Maji umekuwa Shirikishi?
15 Feb, 2025
Pakua

Ndugu Mteja, zoezi la usomaji na uhakiki wa Mita linaendelea mtaani kwako hadi tarehe 15/02/2025. Hakikisha unashiriki katika zoezi hili kwa kusoma na kudhibitisha usahihi wa usomaji katika dira yako kabla bili haijatoka.
Endapo hujasomewa mita yako tafadhali wasiliana na kituo cha huduma kwa wateja 0800110064 (Bure).