KARIBU DAWASA KINYEREZI
27 Aug, 2025
Pakua

KARIBU DAWASA KINYEREZI
"Dawati la huduma kwa wateja Kinyerezi inahakikisha kila mteja anapata msaada wa haraka kuhusu huduma za Maji ikiwemo maombi ya kuunganishiwa maji, taarifa za ankara na taarifa za upatikanaji wa huduma ya majisafi."
Tupigie huduma kwa wateja 0800110064 (bila malipo) na 0734 455 755 (DAWASA Kinyerezi)