KARIBU MWEZI JUNI
01 Jun, 2025
Pakua

KARIBU MWEZI JUNI
Kila tone la maji ni zawadi ya uhai, afya na matumaini. Bila maji, hakuna uzima, hakuna maendeleo, hakuna ustawi. Tuyathamini, tuyahifadhi, tuyatumie, tuyatunze kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo.