KARIBU UPATE HUDUMA YA UONDOSHAJI MAJITAKA DAWASA
14 Aug, 2025
Pakua

KARIBU UPATE HUDUMA YA UONDOSHAJI MAJITAKA DAWASA
KWA MAKAZI
Lita 18,000 - Tsh 150,000/=
Lita 9,000 - Tsh 100,000/=
Lita 5,000 - Tsh 50,000/=
MAJENGO NA BIASHARA
Lita 18,000 - Tsh 180,000/=
KARIBU TUKUHUDUMIE
Bei zetu ni nafuu, tupigie 0735 451 879 - Popote jijini Dar es Salaam tunakufikia.