KARIBU UPATE HUDUMA YA UONDOSHAJI MAJITAKA KUTOKA DAWASA
24 Sep, 2024
Pakua
KARIBU UPATE HUDUMA YA UONDOSHAJI MAJITAKA KUTOKA DAWASA
Epuka utiririshaji ovyo Majitaka unaoweza kuleta athari za Magonjwa ya Mlipuko kwa kutumia magari ya uondoshaji majitaka kutoka DAWASA.
Gharama zetu ni nafuu sana;
KWA MAKAZI
Lita 18,000 - Tshs 150,000
Lita 9,000 - Tshs 100,000
Lita 5,000 - Tshs 50,000
KWA MAJENGO NA BIASHARA
Lita 18,000 - Tshs 180,000
Kupata Huduma hii tupigie sasa 0735 451 879