KARIBU UPATE HUDUMA YA UONDOSHAJI MAJITAKA KUTOKA DAWASA
23 Oct, 2024
Pakua
KARIBU UPATE HUDUMA YA UONDOSHAJI MAJITAKA KUTOKA DAWASA
Epuka utiririshaji ovyo Majitaka unaoweza kuleta athari za Magonjwa Mlipuko kwa kutumia magari ya uondoshaji majitaka kutoka DAWASA.
MAJUMBANI
Lita 18000 - 150,000/=
Lita 9000 - 100,000/=
Lita 5000 - 50,000/=
MAJENGO YA BIASHARA
Lita 18000 - 150,000/=
Piga namba hii 0735 451 879 kupata huduma.