KARIBU WILAYA YA UBUNGO MHE. ALBERT G. MSANDO
07 May, 2025
Pakua

KARIBU WILAYA YA UBUNGO MHE. ALBERT G. MSANDO
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inakupongeza kwa kuaminiwa na kuteuliwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nafasi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo.
DAWASA inakukaribisha na kuahidi ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yako.