KILA LA KHERI KIDATO CHA SITA
07 May, 2025
Pakua

KILA LA KHERI KIDATO CHA SITA
DAWASA inawatakia kila la kheri na mafanikio tele wanafunzi wote wa Kidato cha Sita nchini Tanzania iliyoanza 05 Mei 2025.
Tunawatakia utulivu wa akili, afya njema,na juhudi zenye matokeo chanya. Elimu yenu ni msingi wa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.
Soma kwa bidii, amini katika uwezo wako, mafanikio ni yako! Mungu awatangulie