Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
MALALAMIKO ZAIDI YA 1500 KWA SIKU HUPOKELEWA DAWASA - NUKUU
08 Aug, 2024 Pakua

“Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) Malalamiko 1500 kwa siku hupokelewa DAWASA, kwa wateja wanaohudumiwa kupitia njia mbalimbali za Mawasiliano ikiwemo kituo cha huduma kwa wateja, mitandao ya kijamii na (aplikesheni za Mamlaka).”

Mhandisi Mkama Bwire
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu DAWASA