MALIPO YA ANKARA ZA DAWASA KUPITIA BENKI WASHIRIKA ZIFUATAZO
24 Jan, 2025
Pakua

MALIPO YA ANKARA ZA DAWASA KUPITIA BENKI WASHIRIKA ZIFUATAZO;
CRDB Bank, NMB, NBC, Stanbic Bank, ABSA, Citi Bank, Eco Bank, TCB na Azania Bank
NB: Malipo yote ya Bili hufanyika kupitia kumbukumbu namba maalum ya malipo (Control number) ambayo huanza na tarakimu 99104...