MALIPO YA HUDUMA ZA MAJI DAWASA KUPITIA MITANDAO YA SIMU
24 Jun, 2025
Pakua

MALIPO YA HUDUMA ZA MAJI DAWASA KUPITIA MITANDAO YA SIMU
Ndugu Mteja, kulipia huduma ya maji kwa njia ya mitandao ya simu ni rahisi ukifuata hatua zifuatazo;
MPESA - Bonyeza *150*00#
Mixx By Yas - Bonyeza *150*01#
T-PESA - Bonyeza *150*71#
Airtel Money - *150*60#
na Halopesa - *150*88#
LIPA BILI YAKO KWA WAKATI!