MALIPO YA HUDUMA ZA MAJI DAWASA KUPITIA MITANDAO YA SIMU
							
							
							
							
							
						
					
                            
                                 23 Sep, 2025
                            
                                                        
                                 Pakua
                            
                                                    
                    
                    MALIPO YA HUDUMA ZA MAJI DAWASA KUPITIA MITANDAO YA SIMU
Kulipia huduma ya maji kwa njia ya mitandao ya simu ni rahisi sana fuata hatua zifuatazo;
AIRTEL MONEY, M-PESA, MIXX BY YAS, T-PESA na HALOPESA
            