Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
MASWALI NA MAJIBU KWA WATEJA
14 Jul, 2025 Pakua
MASWALI NA MAJIBU KWA WATEJA

MASWALI NA MAJIBU KWA WATEJA 

MTEJA: Je inachukua muda gani na hatua zipi za kufuata ili kupata Mita baada ya mtu kuleta maombi ya mita mpya ya DAWASA?

DAWASA:

1. Fika katika Kituo cha Polisi kilicho karibu nawe na kutoa taarifa ya upotevu wa mita yako ya maji na utapatiwa taarifa ya mali iliyopotea (loss report) ambayo utarudi nayo ofisi ya Mkoa wa Kihuduma ya DAWASA.

2. Wasilisha taarifa hiyo ya mali iliyopotea (loss report) katika ofisi ya Mkoa wa Kihuduma ya DAWASA inayokuhudumia.

3. Ofisi ya DAWASA itakupatia kumbukumbu namba ya malipo (control number) kwa ajili ya kufanya malipo ya gharama za kurudishiwa mita, ambayo ni Tshs 50,000/=

4. Baada ya kufanya malipo hayo, DAWASA itakupatia mita mpya ili kuendelea na huduma.