MASWALI NA MAJIBU - NI JINSI GANI MTEJA ANAWEZA KUWASILISHA MALALAMIKO, HOJA AU MAONI DAWASA
							
							
							
							
							
						
					
                            
                                 25 Jun, 2024
                            
                                                        
                                 Pakua
                            
                                                    
                    Malalamiko, hoja au maoni kuhusu huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) yanaweza kuwasilishwa kupitia njia zifuatazo:
1. Kituo cha Huduma kwa wateja 0800110064 (Bure)
2. Barua Pepe: info@dawasa.go.tz
3. Mitandao ya kijamii: Instagram, Facebook, X @dawasatz
4. 0735202121( Whatsapp tu)
S.L.P 1573, Dar es Salaam.
            