MAWASILIANO RASMI YA WATENDAJI WA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA DAR ES SALAAM (DAWASA)
25 Jun, 2025
Pakua

MAWASILIANO RASMI YA WATENDAJI WA MAMLAKA YA MAJISAFI NA USAFI WA MAZINGIRA DAR ES SALAAM (DAWASA)
Ndugu Mteja, DAWASA imesogeza Mawasiliano na watendaji wa Mikoa ya kihuduma Dar es Salaam na Pwani, kwa changamoto ya kihuduma wasiliana na namba tajwa. Tupo tayari kuwahudumia