Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
MKUTANO WA DAWASA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI - NUKUU
07 Aug, 2024 Pakua

"Tunaishukuru sana Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha ukamilishwaji wa mradi mkubwa wa kusambaza maji wa Chalinze awamu ya Tatu uliogharimu Bilioni 94 uliosaidia kuongeza uzalishaji wa maji kutoka lita milioni 7.2 hadi lita milioni 21.6 kwa siku,"

Mhandisi Mkama Bwire

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA.