NAMNA YA KUFAHAMU BILI AU DENI LA HUDUMA ZA MAJI
07 Aug, 2025
Pakua

NAMNA YA KUFAHAMU BILI AU DENI LA HUDUMA ZA MAJI
Bonyeza *152*00#,
- Chagua 6 (Maji),
- Chagua 1 (huduma za pamoja)
- Chagua 6 (ulizia Bili),
- Weka namba ya Akaunti
Baada ya hapo utapokea ujumbe mfupi wa Bili yako.
Pakua (Install) Aplikesheni ya GEpG kisha
- Chagua huduma ya Maji (Water)
- Weka namba ya Akaunti
- Wasilisha (Submit)
Utaona bili yako ya maji na unaweza kulipa kutumia njia hii.
Zingatia: Ili kufahamu na kupata bili yako kwa njia hizi hakikisha una namba yako ya Akaunti inayoanzia namba A104.…..au B104.…..