Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
NAMNA YA KUWASILISHA MALALAMIKO AU KUTOA TAARIFA DAWASA
14 Jul, 2025 Pakua
NAMNA YA KUWASILISHA MALALAMIKO AU KUTOA TAARIFA DAWASA

NAMNA YA KUWASILISHA MALALAMIKO AU KUTOA TAARIFA DAWASA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inapokea na kushughulikia malalamiko/maoni kupitia njia zifuatazo;

1. Kufika Ofisi za huduma kwa wateja DAWASA

2. Kuandika barua pepe (E-mail: info@dawasa.go.tz au barua kwa Afisa Mtendaji Mkuu S.L.P 1573)

3. Kupiga simu bure kwenye nambari (0800110064) na 0735 202 121 (WhatsApp Tu)

4. Kuweka kwenye makundi mbalimbali ya WhatsApp yaliyoanzisha na ofisi za DAWASA maeneo tofauti tofauti yakiwaunganisha wateja wanakoishi katika eneo husika.

5. Kupitia mtandao ya kijamii WhatsApp, Instagram, Facebook na Twitter (X)