NDUGU MTEJA WA DAWASA
02 Jan, 2025
Pakua
![NDUGU MTEJA WA DAWASA](https://www.dawasa.go.tz/uploads/announcements/869f591dadd9133873cfa2ae3af395e7.jpeg)
NDUGU MTEJA WA DAWASA
Asante kwa kuwa mteja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika kipindi cha Mwaka 2024
DAWASA inaahidi kuendelea kutoa huduma nzuri na za ubora zaidi kwa Mwaka 2025.