PONGEZI
19 May, 2025
Pakua
PONGEZI
Profesa Mohammed Janabi kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika.
Tunakutakia mafanikio mema katika majukumu yako mapya.
