PUMZIKA KWA AMANI
14 Sep, 2026
Pakua
PUMZIKA KWA AMANI
GEORGE MARTIN MHOKOLE
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa Mamlaka Ndg. George Martin Mhokole (Msaidizi wa Ofisi DAWASA - Kibamba) kilichotokea siku ya Jumapili tarehe 13 Septemba, 2026 saa 10:00 Jioni katika Hospitali ya Rufaa ya Taifa Muhimbili - Dar es Salaam.
Kwa sasa msiba upo nyumbani kwa Marehemu - Ulongoni A Mongolandege Gongo la Mboto, Dar es Salaam.
DAWASA inaungana na familia ya marehemu katika kuomboleza msiba huu mzito.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Libarikiwe.
