RAFIKI JE UMELIPA ANKARA YAKO YA MAJI?
							
							
							
							
							
						
					
                            
                                 23 Jul, 2024
                            
                                                        
                                 Pakua
                            
                                                    
                    RAFIKI JE UMELIPA ANKARA YAKO YA MAJI?
Lipa sasa kwa kutumia Mitandao ya Simu na Benki washirika ambazo ni:
Mitandao ya Simu : AIRTEL MONEY, T-PESA, HALOPESA, TIGOPESA na M-PESA
Benki Washirika : CRDB, NBC, STANBIC BANK, ABSA, NMB, TCB na AZANIA BANK
            