SALAMU ZA PONGEZI
24 Feb, 2025
Pakua

SALAMU ZA PONGEZI
Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inakupongeza kwa kuaminiwa na kuteuliwa na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) kwa nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA).
Kabla ya uteuzi huu, CPA (T) Sais A. Kyejo alikuwa Mkurugenzi wa Fedha DAWASA.
Tunakutakia kila la kheri katika majukumu yako mapya.