SALAMU ZA PONGEZI
05 Nov, 2025
Pakua
SALAMU ZA PONGEZI
Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) tunakupongeza kwa kuchaguliwa na kuapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Kazi na Utu tunasonga mbele"
DAWASA tunakuahidi ushirikiano katika usimamizi wa Sekta ya Maji
