Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
SALAMU ZA PONGEZI
14 Nov, 2025 Pakua
SALAMU ZA PONGEZI

SALAMU ZA PONGEZI

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inakupongeza Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) kwa kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.