SALAMU ZA PONGEZI
14 Nov, 2025
Pakua
SALAMU ZA PONGEZI
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) tunatoa pongezi za dhati kwa Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kwa kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tunakutakia kila la kheri katika kutekeleza majukumu yako mapya kwa ufanisi na uadilifu.
