SALAMU ZA PONGEZI
18 Nov, 2025
Pakua
SALAMU ZA PONGEZI
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) tunatoa pongezi za dhati kwa Mhe. Jumaa Aweso (Mb) kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Maji.
Tunakutakia ushirikiano katika kutekeleza majukumu yako.
