SALAMU ZA PONGEZI
18 Nov, 2025
Pakua
SALAMU ZA PONGEZI
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) tunatoa pongezi za dhati kwa Mhe. Mhandisi Andrea Kundo Mathew (Mb) kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Maji.
Tunakutakia ushirikiano katika kutekeleza majukumu yako.
