Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
TAARIFA KWA UMMA - MABADILIKO YA OFISI ZA KIHUDUMA DAWASA MKURANGA
13 Sep, 2024 Pakua

TAARIFA KWA UMMA

MABADILIKO YA OFISI ZA KIHUDUMA DAWASA MKURANGA

13.9.2024
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inapenda kuwataarifu Wananchi wa  wanaohudumiwa na Mkoa wa kihuduma DAWASA Mkuranga kuwa, ofisi imehamia eneo la Kisemvule katika jengo jipya la ghorofa mkabala na kituo cha Mafuta Olympic.

Mabadiliko haya yanaanza Septemba 15, 2024. 

Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0800110064 (Bure) na 0738 096086 DAWASA Mkuranga.

Imetolewa na 
Kitengo cha Mawasiliano