TAARIFA KWA UMMA - NDUGU ABDALLAH MWALIKO SIO MTUMISHI WA DAWASA
03 Oct, 2025
Pakua
TAARIFA KWA UMMA
NDUGU ABDALLAH MWALIKO SIO MTUMISHI WA DAWASA
2.10.2025
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawataarifu Wananchi na Umma, kuwa Ndugu Abdallah Ally Mwaliko aliyekuwa anahudumia Ofisi ya DAWASA Kinyerezi kuwa sio mtumishi wa Mamlaka kuanzia Septemba 26, 2025.
Mamlaka haitahusika na kazi au huduma yoyote itakayotolewa na mtumishi huyu ndani ya eneo la kihuduma la DAWASA.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano - DAWASA
