Wizara ya Maji

Dar es Salaam Water Supply And Sanitation Authority (DAWASA)

TIRA Logo
TAARIFA KWA WAKAZI WA KIGAMBONI - MABORESHO KATIKA MIUNDOMBINU YA MAJI
10 Jun, 2025 Pakua
TAARIFA KWA WAKAZI WA KIGAMBONI - MABORESHO KATIKA MIUNDOMBINU YA MAJI

TAARIFA KWA WAKAZI WA KIGAMBONI

MABORESHO KATIKA MIUNDOMBINU YA MAJI

10.6.2025
 
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawajulisha Wananchi wanaohudumiwa kupitia Tank la Maji Kisarawe II kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya Majisafi kwa wastani wa Saa 12 

Muda: Siku ya Jumanne, Juni 10, 2025 kuanzia saa 9 alasiri hadi siku ya Jumatano, Juni 11, 2025 Saa 9 Usiku

Sababu: Kuruhusu maboresho ya dharula katika Miundombinu ya Tank kuu la Maji Kigamboni

Maeneo yatakayoathirika ni;
Kigogo, Kichangani, Tumaini, Nyakwale, Kichangani, Uvumba, Kiziza, Kifurukwe, kichangani, Ungindoni, kibugumo, maweni, Mjimwema, Mkwajuni, Upendo, Muungano, Tungi, Magogoni, Tuamoyo, Kigamboni, Ferry, Pamoja na Navy Military, Chuo Cha Mwalimu Nyerere na Tipper

TAHADHARI: Hifadhi maji ya kutosha ili kukidhi mahitaji muhimu katika kipindi cha Maboresho.

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakao jitokeza. 

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi Kituo cha huduma kwa wateja: 
0800110064 (Bila malipo) na 0735 202121 (WhatsApp tu) 0738 096 083 (DAWASA -Kigamboni)

Imetolewa na 
Kitengo cha Mawasiliano
DAWASA