TAARIFA KWA WAKAZI WA KIGAMBONI - MATENGENEZO YA DHARULA YATAKAYOATHIRI UPATIKANAJI WA HUDUMA YA MAJI
							
							
							
							
							
						
					
                    TAARIFA KWA WAKAZI WA KIGAMBONI
MATENGENEZO YA DHARULA YATAKAYOATHIRI UPATIKANAJI WA HUDUMA YA MAJI
27.10.2025
 
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawajulisha wakazi  wanaohudumiwa kupitia tanki la maji kisarawe kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya Majisafi kwa muda wa Saa 9
Muda: Siku ya Jumatatu, Oktoba 27, 2025 kuanzia Saa 8 Mchana hadi Saa 5 Usiku.
Sababu: Kuruhusu maboresho ya dharula katika Miundombinu ya tanki la kuhifadhi maji kigamboni
Maeneo yatakayoathirika ni;
Nyakwale, Uvumba, Kifurukwe, kibugumo, Mkwajuni, Upendo, Muungano, Tungi, Magogoni, Tuamoyo, Kigamboni, Ferry, ungindoni, kiziza, Navy Military, Maweni mjimwema, Tumaini, Kigogo, Kichangani, Kichangani, Chuo Cha Mwalimu Nyerere, Tipper, Vijibweni pamoja na daraja la Nyerere
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakao jitokeza.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi Kituo cha huduma kwa wateja: 
181 (Bure) au 0738 096 083 DAWASA Kigamboni
Imetolewa na 
Kitengo cha Mawasiliano
            