TAARIFA KWA WAKAZI WA SEGEREA HADI KINYEREZI
26 Jul, 2024
Pakua
TAARIFA KWA WAKAZI WA SEGEREA NA KINYEREZI
26/07/2024
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inapenda kuwataarifu Wananchi na Wakazi wanaohudumiwa na Kituo cha kusukuma maji Segerea kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kutokana na hitilafu kwenye pampu ya kusukuma maji.
Sababu: Matengenezo ya Pampu yatakayohusisha ubadilishaji wa pampu katika kituo cha kusukuma maji Segerea.
Maeneo yatakayoathirika ni:
Kinyerezi Mafuta ya Taa, Mnembwe, Kwa Makadali, New Vibe, Msikitini, Efata, Kota za NSSF, Kinyerezi Kanga na Bonyokwa Kisiwani
Wasiliana nasi kituo cha huduma kwa wateja
0800110064 (Bure) au
0735202121 (WhatsApp tu)
Imetolewa na
Kitengo cha Mawasiliano