TAARIFA MUHIMU - KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KIMARA, KILUNGULE NA MAKOKA
18 Dec, 2025
Pakua
TAARIFA MUHIMU
KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KIMARA, KILUNGULE NA MAKOKA
Ndugu wateja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA KIMARA tunapenda kuwajulisha kuwa tumefungulia huduma ya maji, maeneo yafuatayo yatapata huduma;
Kimara Mwisho, Korogwe, Kilungule yote, Makoka, Baruti, Nguzo 770, Nguzo 800, Mapipa ya Lami, Novo ya Chini, City View ya Chini, Unyamwezini, Kilungule kwa Mama Mzaire, Kilungule Shule na Kings.
Kumbuka kuwa na hifadhi ya kutosha ya vyombo vya Maji kipindi hiki cha upungufu
Kwa changamoto ya huduma tupigie 181 (Bure)
