Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
TAARIFA MUHIMU - KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KINONDO, MBOPO NA BUNJU
11 Dec, 2025 Pakua
TAARIFA MUHIMU - KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KINONDO, MBOPO NA BUNJU

TAARIFA MUHIMU

KURUHUSU HUDUMA YA MAJI KWA WAKAZI WA KINONDO, MBOPO NA BUNJU

Ndugu mteja mnaohudumiwa kupitia TANKI LA MALOLO tunapenda kuwajulisha kuwa tumefungulia huduma ya maji maeneo yafuatayo yatapata huduma;

Kinondo;

Kinondo Mwendokasi, Kinondo kwa Muha, Kinondo kwa Dibenge, Kinondo Gorofani, Kinondo CCM, Kinondo Michael Tarimo, Kinondo kwa Sumaye na Kinondo kwa Kidula.

Mbopo;

Loliondo, Shule ya Kwetu, Kwa Mjumbe Deo, Mbopo Mabanda ya Kuku na Mbopo Lodge.

Bunju Mkoani;

Gosheni, Mtaa wa Sia, Bondeni Road, Bunju Boys, Lilaki Lodge, Mtaa wa Seba, Maweni, Mtaa wa Shayo, Jumba la Dhahabu, Bukwali, Dogodogo Center, Kwa Msangi Bondeni, Kwa Mjumbe Alex, Kwa Bibi Queen, Msikitini kwa Mpemba, Burumawe Hospital, Kwa Mjumbe Mama Tabi na Mtaa wa Akida.

Kwa changamoto ya huduma tupigie 181 (Bure)

Kumbuka kuwa na vyombo vya kutosha kuhifadhi Maji katika kipindi hiki cha upungufu.