Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
TAARIFA MUHIMU - MABADILIKO MADOGO YA WATENDAJI DAWASA
26 Jan, 2026 Pakua
TAARIFA MUHIMU - MABADILIKO MADOGO YA WATENDAJI DAWASA

TAARIFA MUHIMU

MABADILIKO MADOGO YA WATENDAJI DAWASA

Uongozi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) umefanya mabadiliko madogo ya watendaji ndani ya eneo lake la kihuduma kama ifuatavyo;

1. Mhandisi Damson Mponjoli - Meneja Mbagala, awali alikuwa Meneja Ubungo (0748 502 167)

2. Victoria Masele - Meneja Kinondoni, awali alikuwa Meneja Mivumoni (0748 502 153)

3. Haruna Taratibu - Meneja Huduma kwa Wateja, awali alikuwa Meneja Mabwepande (0748 502 153)

4. Tumaini Muhondwa - Meneja DAWASA Mabwepande, awali alikuwa Meneja Kinondoni (0748 502 161)

5. Doreen Kiwango - Meneja DAWASA Mivumoni, awali alikuwa Meneja Huduma kwa Wateja (0748 502 162)

6. Mhandisi Alphonce Magoma - Kaimu Meneja DAWASA Ubungo (0748 502 164)

7. Mhandisi Anthony Budaga - Kaimu Meneja Kinyerezi (0748 502 171)

8. Mhandisi Barbanas Taligunga - Kaimu Meneja Kibamba (0748 502 165)

9. Eng. Suzy Marco - Kaimu Meneja Mlandizi (0748 502 175)

Mabadiliko haya yanaanza Januari 23, 2026

Imetolewa na

Kitengo cha Mawasiliano