Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
TAARIFA MUHIMU - TUMEFUNGULIA HUDUMA KUPITIA TANKI LA KIMARA
10 Dec, 2025 Pakua
TAARIFA MUHIMU - TUMEFUNGULIA HUDUMA KUPITIA TANKI LA KIMARA

TAARIFA MUHIMU

TUMEFUNGULIA HUDUMA KUPITIA TANKI LA KIMARA

Ndugu Mteja wetu mnaohudumiwa kupitia Tanki la Maji Kimara tunapenda kuwajulisha kuwa tumefungulia huduma ya maji.

Maeneo yafuatayo yatanufaika;

Chuo Kikuu cha DSM (UDSM), Magufuli Hostel, Chuo cha Maji, TPDC, Mlimani City, Chuo cha Ardhi na Mlalakuwa.

Kwa changamoto ya huduma tupigie 181 (Bure)