Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
TAARIFA MUHIMU - TUMEFUNGULIA HUDUMA KUPITIA TANKI LA TEGETA 'A'
10 Dec, 2025 Pakua
TAARIFA MUHIMU - TUMEFUNGULIA HUDUMA KUPITIA TANKI LA TEGETA 'A'

TAARIFA MUHIMU

TUMEFUNGULIA HUDUMA KUPITIA TANKI LA TEGETA 'A'

Ndugu wateja wetu mnaohudumiwa na TANKI LA TEGETA A, tunapenda kuwajulisha kuwa tumefunguliwa huduma ya maji.

Maeneo yafuatayo yatakayonufaika;

Kata ya Goba katika maeneo ya;

Tegeta A, Goba, Kulangwa, Matosa, Lilian Kibo, Mtaa wa Binamu, Mwamba Rd, Mpwapwa, Shimbikati, Kanisa la Mabati, Kwa Bondia, Mbilinyi, Matosa Uzalamoni, Dishilingi, Matosa Centre, Kwa Madawa, Katunzi, Goba Mpakani, Paving, Kunguru, Kontena, Triple B, Frame 4, Moga na King'ong'o.

Kata ya Wazo katika maeneo ya;

Madale, Mivumoni, Kulangwa, Maendeleo, Kanjibai, Milioni, Kibao cha Mbuzi, Lalata, Tumaini na Dizi.

Kwa changamoto ya huduma tupigie 181 (Bure)

#Tunaendelea kuimarisha huduma