Wizara ya Maji

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA)

TIRA Logo
TAARIFA MUHIMU - TUMEFUNGULIWA HUDUMA KUPITIA TANKI LA KIMARA
10 Dec, 2025 Pakua
TAARIFA MUHIMU - TUMEFUNGULIWA HUDUMA KUPITIA TANKI LA KIMARA

TAARIFA MUHIMU

TUMEFUNGULIWA HUDUMA KUPITIA TANKI LA KIMARA

Ndugu wateja wetu mnaohudumiwa na TANKI LA KIMARA, tunapenda kuwajulisha kuwa tumefungulia huduma ya maji.

Maeneo yatayaonufaika ni;

Ubungo, Magufuli Hostel, Mlimani City, Mwenge, Mikocheni, Kijitonyama, Kinondoni, Sinza A, Sinza C, Sinza D, Makumbusho, Mwananyamala, Masaki, Msasani, Oysterbay, Aga khan, JKCI, Muhimbili, Upanga Mashariki, Upanga Magharibi na Mjini Kati.

Kwa changamoto ya huduma tupigie 181 (Bure)

#Tunaendelea kuimarisha huduma