TANGAZO - NAMBA 181 KUTOPATIKANA KWA WATUMIAJI WA VODACOM
19 Dec, 2025
Pakua
TANGAZO
NAMBA 181 KUTOPATIKANA KWA WATUMIAJI WA VODACOM
Ndugu Mteja,
Tunapenda kukutaarifu kuwa huduma ya namba 181 kupitia mtandao wa simu wa Vodacom kwa sasa haipatikani.
Tafadhali tumia mitandao mingine kama YAS, AIRTEL, TTCL au HALOTEL kuwasiliana nasi huduma kwa Wateja
