TANZIA
07 Oct, 2025
Pakua
TANZIA
THOMAS JOHN THOMAS
DAWASA inasikitika kutangaza kifo cha Thomas John Thomas, kilichotokea tarehe 6 Oktoba, 2025 saa 4:30 asubuhi kwa ajali ya pikipiki eneo la Malamba Mawili - Kwanjite, Dar es Salaam.
DAWASA tunaungana na familia kuomboleza msiba huu mzito.
Bwana Ametoa Bwana Ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe.
